AyoTV

Simba SC yamsimamisha kazi kocha, hatma November 28 2019

on

Kocha msaidizi wa Simba SC Denis Kitambi alipokutana na waandishi wa habari wa michuano hiyo, Kitambi aliitwa na mkurugenzi na kuambiwa kuwa asimamie SimbaSC kwani kocha wamemsimamisha hadi November 28 2019 watakapokaa nae kikao.

“Kitu ambacho nimeongea na mkurugenzi mtendaji aliniita akaniambia nimekuita ili tuongee ana kwa ana nikujulishe kuwa kocha mkuu (Aussems) tumemsimamisha mpaka pale tutakapokuwa na kikao na tarehe 28 na yeye (Aussems) kwa hiyo kwa sasa wewe itabidi usimamie timu kwa hii wiki nzima kwa hiyo hayo ndio maelekezo nimepewa na mkurugenzi mtendaji”>>>Denis Kitambi

Video: Sababu iliyomuondoa Juma Pondamali Yanga SC ndio hii

Soma na hizi

Tupia Comments