Michezo

Simba SC yamuweka njia panda Morrson, kwa hili ndio basi tena

on

Simba SC imesema imempa mapumziko ya hadi mwisho wa msimu Mchezaji wake Bernard Morrison baada ya pande zote mbili kukubaliana apumzike ili ashughulikie mambo yake binafsi.
Kwa Taarifa zaidi Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa unaweza ukabonyeza play.

Soma na hizi

Tupia Comments