Michezo

Simba SC yapata Clean Sheet sasa

on

Baada ya kuwa na wakati mgumu katika safu ulinzi na kujikuta mara nyingi hata kama wanashinda ila wanaruhusu goli, kitu ambacho kilikuwa kinamkera kocha wao Sven Vanderbroeck.

Simba SC leo wamefuta makosa na kujikuta wakipata ushindi wa kwanza bila kuruhusu nyavu zao kuguswa (clean sheet) baada ya kucheza  game 5  bila clean sheet kitu ambacho

Mchezo dhidi ya Coastal Union ndio Simba wamepata clean sheet kufuatia ushindi wao wa magoli 2-0, magoli yakifungwa na mbrazil Gerson Fraga dakika ya 7 na dakika ya

Soma na hizi

Tupia Comments