Habari za Mastaa

“Simba tumecheza vibaya, ilitakiwa sabaaa” JB (+video)

on

Mwigizaji Jacob Steven maarudu JB amezungumza na AyoTV na millardayo.com na kusema Simba imecheza vibaya sana na ilitakiwa kushinda goal saba katika mchezo wao na Yanga.

ZUCHU AMWAGA MACHOZI ASHINDWA KUJIZUA RAIS MAGUFULI AMUITA MEZA KUU

Soma na hizi

Tupia Comments