Michezo

SIMBA VC YANGA: Duuh tambo za Manara balaah “Simba ndio baba lao” (+video)

on

Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara akiohojiwa na Channel Ten leo “Wewe bingwa wa kihistoria wa Tanzania na sisi wa nchi kumi na moja wa Afrika nani mkubwa? Kwa mujibu wa bodi ya Ligi ndio inaongoza Simba kwa kujaza viwanja. Simba kwenye ishu ya Social Media ni baba lao”.

MAJIGAMBO YA MANARA: “TUFUNGWE NA YANGA TUTAKUWA ‘VICHAA’ MARA MWISHO TUMEFUNGWA NA SEVILA”

Soma na hizi

Tupia Comments