Michezo

Simba watoa tamko mashabiki wao kupigwa Moro

on

Klabu ya Simba, kwa mara nyingine inasikitishwa na inakemea vikali kitendo cha baadhi ya mashabiki wa timu ya Yanga kuwapiga mashabiki wa Simba waliohudhuria mchezo kati ya Yanga na Mtibwa uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri, Morogoro, Septemba 27, 2020.

MGOMBEA AONYWA “TUTAMSHURUTISHA KUTII SHERIA”

Soma na hizi

Tupia Comments