Ad

Michezo

Simba wawasili Cairo kuikabili Al Ahly (+picha)

on

Msafara wa wachezaji, viongozi na benchi la ufundi la Simba SC umefika salama Jijini Cairo, Misri tayari kwa mechi ya mwisho ya kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly.

“WEWE UKIZINGUA TUTAZINGUANA, MMENIUDHI SANA”- RAIS SAMIA AKITOA MAAGIZO TASAC

Soma na hizi

Tupia Comments