Michezo

Simba yamfuta kazi Kocha Gomes

on

Club ya Simba SC imetangaza rasmi kuachana na Kocha wake Mkuu Mfaransa Didier Gomes Da Rosa (52) pamoja na mtaalamu wa viungo Adel Zrane (Tunisia) na Kocha wa makipa Milton Nienov (Brazil).

Simba SC imetangaza uamuzi huo ikiwa ni siku mbili zimepita toka waondolewe katika michuano ya club Bingwa Afrika kwa kufungwa 3-1 dhidi ya Jwaneng Galaxy katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Gomes alijiunga na Simba SC 2021 akitokea Al Merreikh ya Sudan.

 

Soma na hizi

Tupia Comments