Michezo

Picha 9 za maandamano ya wanachama wa Simba wakipinga kutolewa kwa Wambura kwenye uchaguzi.

on

3rchlWanachama wa Simba wamejikusanya makao makuu ya timu ya Simba kushinikiza kurudishwa kwa jina la Michael Wambura ambalo limetolewa kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi ujao wa klabu hiyo.

Kwa pamoja wanachama hawa walianza kujikusanya kuanzia mchana wa saa 6 mpaka saa 9 jioni baada ya jeshi la polisi kufika eneo hilo na kisha kuwaelekeza kuwa majibu ya wanachokiomba watapatiwa na kamati ya uchaguzi hivyo wanatakiwa kutawanyika.

Baadhi ya picha hizo ni hizi.

9rchl

8rchl

7rchl

6rchl

2rchl

1rchl

5rchl

4rchl

Tupia Comments