Michezo

Huenda umeiona hii mitandaoni, inahusu ajali ya mashabiki wa Timu ya Simba..

on

Ajali SIMBAMoja ya stori ambacho zimeanza kuchukua nafasi kwenye kurasa za watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Whatsapp na Instagram ni ishu ya ajali ambayo imetokea leo.

Mwandishi wa Habari za michezo TZ na Mtangazaji wa show ya Sports Xtra @CloudsFM, Shaffih Dauda ameweka post kwenye ukurasa wake wa Instagram, inahusu ajali ya gari la mashabiki wa timu ya Simba Sports Club; “Wanachama wa tawi la mpira na maendeleo maarufu kama Simba Ukawa wamepata ajali wakiwa njiani kuelekea mkoani shinyanga,Taarifa zaidi zitafuata…“– @

IMG-20150403-WA0046

Naifuatilia kwa ukaribu hii mtu wangu, kaa karibu na millardayo.com, nitakachokipata nitakusogezea hapa muda wowote kuanzia sasa, unaweza kujiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia hii itakufikia >twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments