Michezo

VPL: Matokeo ya Simba SC vs Polisi Morogoro haya hapa

on

Beki wa Simba, Nassor Chollo, (no 2) akiruka kumdhibiti mshambuliaji wa Polisi Moro, Danny Mrwanda, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Katika mcheo huo timu hizo zimetoka sare kwa kufungana bao 1-1. Simba ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia mchezaji wake, Emmanuel Okwi, katika dakika ya 32, na la Polisi likifungwa na Danny Mrwanda katika dakika ya 50 na kufanya matokeo kuwa 1-1.

Kikosi cha Polisi Moro….
Matokeo mengine ya Ligi Kuu ni kama ifuatavyo:-
Mtibwa Sugar 3 -Ndanda Fc 1
Mbeya City 1 -Coastal Union 0
Mgambo Shooting 0 -Stend United 1
Picha zote kwa hisani ya http://www.sufianimafoto.com

Tupia Comments