Michezo

Kama ulikosa kilichojiri jana kati ya Simba vs Yanga – hizi hapa picha za matukio yote

on

Vilabu vya Simba na Yanga jana vilitoka sare ya 0-0 katika mchezo wao wa kwanza wa Vodacom Premier League.

Vilabu vya Simba na Yanga jana vilitoka sare ya 0-0 katika mchezo wao wa kwanza wa Vodacom Premier League.

 Askari wa Farasi kutoka Kikosi cha FFU wakihakikisha wakiwa katika doria nje ya Uwanja wa Taifa kabla ya mchezo.
Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akipambana na
mshambuliji wa Simba, Elius Maguri (katikati) huku Kelvin Yondani wa Yanga
akiwa tayari kutoa msaada wakati wa mchezo namba 27 wa Ligi Kuu ya Soka
Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu
hizo zilitoka sare ya bila kufungana. (Picha na Francis Dande)
Kipa wa Yanga Deogratias Munishi akiokoa mpira.
Mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Yanga, Oscar Joshua (kulia). 
 Kocha wa Simba, Patrick Phir akiingia uwanjani.
Shabiki wa Simba.
Mashabiki wa Yanga.
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo akiingia Uwanjani.
Waamuzi wa mchezo huo.
 Mashabiki wa Simba wakimpa fedha kipa wa Simba, Manyika Peter baada ya kuokoa hatari nyingi langoni mwake. 

Tupia Comments