Habari za Mastaa

Simulizi ya Maisha Mwimbaji Isha Mashauzi, alisomea Unesi (video+)

on

Ni Mahojiano na Mwimbaji wa Taarabu, Isha Mashauzi ambaye ameshare na sisi Maisha yake kuanzia alivyosomea unesi kisha akauza Ubwabwa Kariakoo, Kuachika ndoa ya kwanza na Mengine.

MIKOA ILIYOTISHA KWA TALENT NA MIZUKA BONGO STAR SEARCH 2021

 

 

Tupia Comments