Michezo

Sir Bobby Wa Man United augua dementia

on

Legend wa Man United Sir Bobby Charlton (83) amegundulika kuwa na ugonjwa wa dementia (tatizo la kupoteza kumbukumbu, kupoteza uwezo wa kufikiri, tatizo la akili)

Sir Bobby Charlton ndio miongoni mwa mastaa wa England waliotwaa World Cup 1966, ameshinda taji la Ligi 3, FA Cup, European Cup katika kipindi cha miaka yake 17 (1956-1973) akiitumikia Man United.

Charlton alipewa heshima ya kuitwa Sir na malkia wa Uingereza kufuatia mambo makumbwa aliyoyafanya na uiletea taifa hilo Ubingwa wa Kombe la dunia 1966.

Soma na hizi

Tupia Comments