Mix

PICHA 20: IGP Sirro alivyopokea msaada wa magari kwa ajili ya jeshi la polisi

on

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro leo July 5, 2017 amepokea msaada wa magari manne kutoka Kampuni ya Great Wall Motor ya China ambapo wakati anapokea magari hayo IGP amesema magari hayo yatasaidia kupunguza changamoto za Polisi.

VIDEO: “Maeneo ya Kibiti, Ikwiriri inatakiwa watu wajilinde” – IGP Sirro, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments