Habari za Mastaa

Tulishare pamoja PICHAZ kutoka Behind the Scene, hii ni time ya kucheki VIDEO. Vanessa Mdee & Barnaba- ‘Siri’

on

.

.

Muda  mrefu watu walianza kuitamani video baada ya single yao ‘Siri’ kuachiwa ili tuisikilize, uzuri wa huu wimbo ukausogeza pia kwenye chati za radio mbalimbali, sasa time hii Vanessa Mdee na Barnaba wamepokea mzigo wa hii video iliyokamilika kutoka mikononi mwa Director Hanscana, inasogezwa hapa pia ili uicheki na wewe mtu wa nguvu.

Itazame kwa kubonyeza play hii #Siri

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments