AyoTV

VIDEO: Kamanda Sirro kuhusu kuumwa kwa Manji na Mahakamani

on

Leo February 16 2017 Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Kamishna Simon Sirro amekutana na waandishi wa habari kuzungumzia ilipofikia operesheni inayoendelea ya kukamata watumiaji na wafanyabiashara ya dawa za kulevya, ambapo pamoja na mambo mengine amezungumzia ishu ya Yusuph Manji kuumwa na kupelekwa mahakamani. Kamanda Sirro amesema……

“Yusuph Manji amepelekwa Mahakamani, naamini haki itatendekea kwa pande zote mbili, tulikuwa tunamhoji baadaye alilalamika anajisikia vibaya tukaleta madaktari wetu, alikuwa analalamika huwa ana matatizo ya moyo na madaktari wakaona vizuri akaenda kuchunguzwa zaidi’  -Kamanda Sirro

Yusuph Manji alivyofikishwa mahakamani Kisutu DSM, Bonyeza play hapa chini 

VIDEO: Polisi waongea kuhusu kukamatwa kwa Agness Masogange, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Ulikosa ya Kamanda Sirro kwenye awamu ya 3 ya dawa za kulevya? Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments