Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Majibu ya Sirro kwa wanaodai hana maelewano mazuri na Makonda
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
June 3, 2023
Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Majibu ya Sirro kwa wanaodai hana maelewano mazuri na Makonda
AyoTV

VIDEO: Majibu ya Sirro kwa wanaodai hana maelewano mazuri na Makonda

December 6, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Hivi karibuni kumekuwa na taarifa ambazo ziliripotiwa na baadhi ya magazeti na mitandao ya kijamii kuwa Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro haelewani vizuri na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.

Taarifa hizo zilisambaa baada ya RC Paul Makonda kumtuhumu Kamanda Simon Sirro na Kamanda Kaganda kuwa hawajachukua maamuzi kuhusu shisha na kwamba walimjibu shisha haipo tena Dar es salaam lakini yeye alivyofanya uchunguzi akakamata maeneo zaidi ya 10 hivyo akadai kuwa huenda wale waliomfuata kumhonga yeye walipita kwa Polisi.

Ayo TV na millardayo.com imempata kamanda sirro…….>>>’nina maadili yangu ya kazi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya mimi nisielewane na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, sasa zimebakia hisia tu, tuache wale wanaohisi wabaki na hisia zao lakini mimi ninachojua tunakwenda vizuri na tunafanya kazi vizuri’

AUDIO: Majibu ya RC Makonda kuhusu ishu ya Shisha mbele ya Waziri Mkuu, Bonyeza play hapa chini

VIDEO: ‘Wenye akili ndogo ndio walilalamika’ – Paul Makonda, bonyeza play hapa chini kutazama 

You Might Also Like

Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

Ukali wa DC Jokate alivyoagiza watumishi wa Tanesco kupelekwa rumande ‘Sina huruma’

Dorah ashindwa kujizuia amwaga machozi asimulia magumu aliyopitia kwenye maisha yake

‘Sho Madjozi’ akiwaimbia live watanzania Mama Amina ya Marioo Kidimbwi Beach DSM

VIDEO:Mwanaume anaedaiwa kutoka kimapenzi na shilole kafunguka uhusiano wao

TAGGED: kamanda sirro, rc makonda
Edwin Kamugisha TZA December 6, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Top 10 ya habari kubwa za magazeti ya leo Dec 6 2016 ambazo hutakiwi zikupite
Next Article HEKAHEKA: Utata kifo cha mtoto aliyefariki kwenye mazingira ya shule
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
Top Stories June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?