Top Stories

Sirro akutana na IGP wa Msumbiji wakubaliana kufanya operesheni (+video)

on

Mkuu wa wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Msumbiji Bernadino Rafael, wamekubaliana kufanya operesheni za pamoja kukabiliana na kikundi cha watu wanaofanya uhalifu katika maeneo ya Vijiji vya mpaka unaotenganisha nchi hizo mbili.

Soma na hizi

Tupia Comments