Top Stories

Sirro aongoza Waombolezaji kumuaga Shana Moshi (+picha)

on

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro ni miongoni mwa Waombolezaji waliojitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Afisa Mnadhimu Shule ya Polisi Moshi Kilimanjaro maarufu CCP Marehemu ACP Jonathan Shana ambaye pia aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Arusha na Mwanza.

Soma na hizi

Tupia Comments