AyoTV

Video: ‘Hata nikiwapigia simu baadhi ya wasanii, wanajua ni ishu ya Dawa’ – Sirro

on

March 15 2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametimiza mwaka mmoja tangu ateuliwe na Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania John Pombe Magufuli, kutoka Police Mercy Jijini Dar es Salaam Kamanda Sirro amezungumzia kuhusu ishu ya Dawa za Kulevya.

Kwanza nimpongeze Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda kwa kutimiza mwaka mmoja lakini pia tukizungumzia ishu ya Dawa za Kulevya siku hizi hata nikiwapigia simu baadhi ya wasanii wanaogopa wanajua ni ishu ya Dawa za Kulevya‘>>>Simon Sirro.

Ulimiss hii ya Kamanda Sirro kajibu ombi la Diamond kuhusu biashara ya chips itazame hii Video hapa chini..

Soma na hizi

Tupia Comments