Habari za Mastaa

Single mpya ya Nikki wa II ft G Nako na Ben Pol ‘sitaki kazi’ imetoka, isikilize hapa

on

staki kaziSingle ya mwisho Nikki wa II kuitoa kama solo artist kutoka WEUSI ni ‘nje ya box’ ambayo ndio imempa tuzo moja ya KTMA 2014 kama wimbo bora wa hiphop 2013….

Bonyeza play hapa chini kusikiliza single yake mpya ya ‘sitaki kazi’ na kisha uache maoni yako chini ili akipita usiku aone watu wake wamemuandikia nini.

Vitu kama hivi ni halali yako visikupite… niko tayari kukutumia kwenye twitter instagram na facebook, jiunge na mimi kwa kubonyeza HAPA na >> INSTA na FB

Tupia Comments