AyoTV

VIDEO: Taarifa kamili ya Mbunge aliyesema uongo kuhusu Prof. Tibaijuka

on

June 28, 2017 Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge chini ya Mwenyekiti wake George Mkuchika iliwasilisha Bungeni taarifa kuwa imemtia hatiani Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchesta Rwamlaza kwa kosa la kusema uongo mbele ya Bunge akimtuhumu aliyewahi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Pro. Anna Tibaijuka kuwa amejimilikisha ardhi yenye ukubwa wa ekari 400 kinyume cha sheria.

VIDEO: Adhabu iliyotolewa na Bunge kwa Mbunge wa CHADEMA leo 

Soma na hizi

Tupia Comments