Habari za Mastaa

VIDEO: Vibe kama lote la Dogo Janja mbele ya mshabiki wake Singida

on

Isikupite show ya mkali kutokea Ngarenaro, Dogo Janja ambapo alipanda na vibe kama lote kwenye stage ya fiesta Singida na kutoa burudani kwa mashabiki wake. Tazama alichokifanya Dogo Janja kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO: BALAA!! Whozu alivyoamsha vibe la mashabiki Singida

Soma na hizi

Tupia Comments