AyoTV

VIDEO: Mchekeshaji Eric Omondi alivyovamia stage kucheza SALOME na Diamond

on

Mchekeshaji staa wa Kenya Eric Omondi alikuwa mmoja wa kivutio katika Tamasha la Koroga Festival lililofanyika Nairobi Kenya May 28, 2017 baada ya kuvamia stage na kuanza kucheza wimbo wa Salome sambamba na staa wa Tanzania Diamond Platnumzambaye alikuwa anatumbuiza akiwa na Band yake kwenye tamasha hilo.

Cheki hapa namna Omondi alivyovamia stage na kucheza SALOME akiwa na Diamond Platnumz>>>

FULL VIDEO: Kutoka kwenye msiba wa Ivan Don Uganda

Soma na hizi

Tupia Comments