AyoTV

LIVE: Waziri Lukuvi, Mpina na RC Makonda kwenye mkutano mmoja na wananchi

on

Muda huu kupitia AyoTV na millardayo.com Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, Waziri Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, na Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda wamekutana na wananchi eneo la Pugu Dar es salaan kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi eneo hilo.

Inadaiwa kuna wananchi wa eneo hilo walivamia eneo hilo na kufanya shughuli zingine za kijamii na kupelekea migogoro ya mara kwa mara. Unaweza kutazama LIVE kwa kubonyeza hapa chini ili kujionea mgogoro huo wa muda mredu ulivyomalizwa.

Onyo la Waziri Kangi Lugola kwa Askari wanaoweka watu rumande

Soma na hizi

Tupia Comments