Habari za Mastaa

Chid Benz “Nimeshika hela kuliko Msanii yoyote na Ruge hajawahi nidhurumu, msitafute sifa”

on

Msanii Chid Benz amezungumza kuhusu uhusiano wake na marehemu Ruge Mutahaba ambapo Chid Benz amesema kuwa yeye hajawahi kudhurumiwa na Ruge na ndiye msanii aliyeshika hela nyingi kuliko wote hivyo anashangaa kuona wanao lalamika kusema wamedhurumiwa.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO CHID BENZ AKIZUNGUMZA.

VIDEO: Mwasiti aweka wazi alichoambiwa na Ruge Mutahaba “Nitafurahi sana mkifanikiwa”

WASANII WALIVYOINGIA STUDIO KUREKODI WIMBO WA KUMUENZI RUGE MUTAHABA

 

Soma na hizi

Tupia Comments