AyoTV

VIDEO: Serikali yaongea kilichosababisha Watanzania kuondolewa Msumbiji

on

Ni wiki kadhaa sasa zimepita tangu sakata la Watanzania na baadhi ya wananchi wa nchi nyingine kufukuzwa Msumbiji baada ya nchi hiyo kuanza kuwatoa Wahamiaji ambao hawajafuata utaratibu wa kuingia nchini humo.

AyoTV imempata Waziri wa mambo ya nje ya nchi na ushirikiano Balozi Dr. Augustino Mahiga katueleza kila kitu kilichotokea chanzo chake na moaka sasa hali ikoje huko….  MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

VIDEO: Agizo jipya la Rais Magufuli kuhusu Watanzania waliofungwa nje ya nchi kwa dawa za kulevya, bonyeza play hapa chini kumtazama

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments