Habari za Mastaa

Meneja katudokezea Album mpya ya Diamond na vichwa vya kimataifa

on

‘Sikusema mwaka gani inatoka ila album ipo na siku zote kitu tunachoangalia ni njia tulikuwa tumezipanga kwa album ya Diamond Platnumz kuwa Kama international album’- Meneja Sallam

‘Hiyo ndio maana tukaanza kutoa kolabo yake na P Square kisha nyingine zitakapokamilika ikiwemo ile na Neyo itakuwa kwenye hiyo album hivyo album iko njiani mashabiki wakae mkao wa kuipokea muda wowote’

Zaidi unaweza kumsikiliza meneja Sallam kwa kuplay hapa chini..

ULIIKOSA HII BIRTHDAY PARTY YA SALLAM MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments