Habari za Mastaa

Wale wa Skelewu…hii ni remix yake kutoka kwa Davido ft Major Lazer & Wiwek

on

skeleSkelewu remix imetoka na video ambayo imetengenezwa na mega mix ya vipande vya video za mashabiki wa Davido kutoka nchi tofauti na kutengeneza video moja.

Dakika 3 na sekunde 41 zinatosha kuiangalia video hii na kusikia Skelewu remix

Tupia Comments