Mix

Simba aliyeingia mtaani na kujeruhi Mtu akamatwa Kenya

on

Asubuhi ya leo March 18 2016 iliripotiwa taarifa ya Simba mmoja aliyetoroka kutoka Hifadhi ya Taifa ya Nairobi nchini Kenya na alionekana mtaani na kumjeruhi mtu mmoja.

Huduma ya Wanyamapori ya Kenya imesema Simba huyo aliyeripotiwa kuonekana ijumaa asubuhi akiranda karibu na City Cabanas barabara ya Mombasa amekamatwa na mtu aliyejeruhiwa alipelekwa hospitali.

Unataka kutumiwa za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments