Habari za Mastaa

Hiki ndicho kilichotokea Skylight Band walipokutana na Kidumu.

on

Image00039Wakazi wa 88.5 Dar es salaam walipata burudani mbili kwa pamoja usiku wa April 27  ambapo Skylight Band walikua wakizindua video ya wimbo wao mpya uitwao Kariakoo,baada ya kuzinduliwa kwa video hiyo ambayo ilikua ikionyeshwa kwenye projector za Escape 1 kilichofuata kilikua ni burudani pekee.

Kidumu aliongozana na bendi yake ya Boda boda Band na upande wa pili ni Skylight walikua wakipeana saa moja moja kwenye kuperfoam ilikua show ya aina yake maana ilikua na mchanganyiko wa mahadhi ya nyimbo zote ambazo zilipigwa na bendi hizi mbali na nyimbo zao hata zile ambazo zilikua ni copy.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.

Image00059

Image00058

Image00057

Image00056

Image00055

Image00050

Image00052

Image00053

Image00054

Image00049

Image00048

Image00047

Image00046

Image00044

Image00043

 

Image00041

Image00040

Image00037

Image00036

Image00035

Image00030

Image00031

Image00032

Image00033

Image00034

Image00029

Image00028

Image00027

Image00026

 

Image00020

Image00021

Image00022

Image00023

Image00024

Image00019

Image00018

Image00017

Image00016

Image00015

Image00010

Image00011

 

Image00013

Image00014

Image00009

Image00004

Image00003

Image00008

Image00007

Image00006

Image00005

Image00001

Image00002

 

Tupia Comments