Top Stories

Naibu Waziri katoa onyo hili kuhusu wanafunzi watakaopewa mimba

on

Leo January 12, 2018 Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amesema mzazi atakayekuwa chanzo cha mwanafunzi kupata ujauzito au kuficha taarifa atachukuliwa hatua kali za kisheria na serikali.

Ole Nasha amezungumza hayo wakati akizindua shule ya msingi Laresho ambayo imejengwa kwa lengo la kusaidia watoto wa kifugaji kupata elimu.

“Serikali imetenga Sh. Bilioni 427 kwa mwaka kwa ajili ya elimu ya juu kitu ambacho hakijawai kutokea, ahadi zilizowekwa na serikali siyo siasa bali ni vitu vya kweli.”– Ole Nasha

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama

“Siasa isiyoshughulikia mambo ya watu haina maana” Nape Nnauye

Soma na hizi

Tupia Comments