Stori Kubwa

Msimamo wa Maalim Seif kuhusu Prof. Lipumba

on

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kupitia Clouds 360 ya Clouds TV amedai kuwa bora akae na CCM kuliko kukaa na Mwenyekiti wa CUF anayetambulika na Msajili wa Vyama vya siasa Prof. Ibrahim Lipumba kwa kuwa ni msaliti.

Akijibu swali la mtangazaji wa kipindi hiko Masoud Kipanya aliyeuliza kama anaweza kukaa Ofisi moja na Prof. Lipumba, Maalim Seif alijibu: Siwezi, siwezi kukaa na msaliti. Ni bora kukaa na CCM kuliko kukaa na msaliti.” – Maalim Seif.

VIDEO: ‘Hii sio haki, mnabomoa nyumba za watu saa 10 usiku’ –Bonnah Kaluwa

Soma na hizi

Tupia Comments