Habari za Mastaa

Huenda hujasikia hii mpya Solange Knowles.

on

"Charles James: Beyond Fashion" Costume Institute Gala - Arrivals
Unamkumbuka Solange Knowles? Yule mdogo wa mwanamuziki Beyonce aliyewahi kukaa kwenye headline kutokana na kumpiga mateke shemeji yake ambaye ni rapa Jay Z ndani ya lifti?

Leo anazungumziwa tena, hili la leo huenda likawa jambo la kheri kumhusu yeye na familia ya mzee Mathew Knowles kutokana na taarifa zilizoenea mitandaoni kuhusu Solange kuolewa ndani siku tano zijazo, Novemba 16.

174404254SL00025_Blue_Jasmi

Solange (28) amekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mpenzi wake Alen Ferguson (51), ndoa hii itakuwa ya pili kwa Solange baada ya kuvunjika kwa ile ya kwanza aliyofunga na Daniel Smith.

Hizi ni baadhi ya picha zinazowaonyesha Solange, Beyonce na Alen wakila happy siku chache zilizopita.

520435431JB041_Prospect_3_F

520435431JB043_Prospect_3_F

 Kwa jinsi unavyomfahamu Solange, unadhani ndoa hii itadumu? Naomba maoni yako mtuwangu wa nguvu.

Tupia Comments