fB insta twitter

Kutana na PICHA 11 na Post za mastaa walizo post juu ya siku ya Valentines Day

on

Jana February 14 ilikua ni siku ya Wapendanao ambapo mastaa mbalimbali kutoka Tanzania na nje ya Tanzania walionyesha kutambua uwepo wa siku hii na kupost picha mbalimbali kwenye mitandao yao ya kijamii.

Ni Young Killer, Zari the Boss lady, Jux, Aunt ezekiel, Profesa Jay, Kim kardashian na wengine kama inavyoonekana hapa chini.

Mkali wa bongofleva Young Killer

 

Mchekeshaji wa Kenya Erick Omondi

 

Mwimbaji staa wa bongofleva Jux

 

Mwigizaji wa Tanzania Aunty Ezekiel

 

Mkongwe wa Hiphop Tanzania Profesa Jay

 

Zari the Boss Lady wa Diamond Platnumz

 

Mshindi wa BBA Africa Idris Sultan

 

Mwimbaji staa J.Lo

 

TV Star Kim K

 

Staa wa hiphop Tanzania Joh Makini

Mkali mwingine wa bongofleva Young D

VIDEO: Ataemchukulia Irene Uwoya mwanaume, Wanaume wanaokwenda saluni na mengine kayaongea kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments