AyoTV

VIDEO: Sababu za Simba kwenda FIFA sio kupata Ubingwa wa VPL

on

Jumanne ya May 9 2017 Waandishi wa michezo walifika kwenye uzinduzi wa kampuni ya ku-bet ya SPORTPESA kutoka Kenya ambayo kwa sasa ndio imeingia Tanzania, ilihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo makamu wa Rais wa Simba Geofrey Nyange Kaburu.

Moja kati ya maswali aliyoulizwa Kaburu ni kuhusiana na maamuzi ya Simba kwenda kushitaki FIFA kuhusiana na kuamini kutotendewa haki, leo ameeleza kuhusiana na mpango huo lakini ameweka wazi leo lao la kwenda FIFA sio kutaka Ubingwa.

Nia ya kwenda FIFA sio kupata point tatu au kupata Ubingwa Hapana nia ya kwenda FIFA nikuona haki na matumizi sahihi ya kanuni kutoka katika vyombo vya mpira vinasimamia maamuzi sahihi kwa ueledi katika soka” >>> Kaburu

Mtazame Kaburu kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

Soma na hizi

Tupia Comments