AyoTV

VIDEO: Kwa mara ya kwanza Samatta kacheza dakika 90 akiwa na KRC Genk na kapachika goli hili

on

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta April 16 2016 alipata nafasi ya kuanza na kucheza mechi kwa dakika 90 kwa mara ya kwanza akiwa na KRC Genk ya Ubelgiji, Samatta ameanza na alifunga goli la uongozi kwa Genk dakika ya nane ya mchezo kwa mpira wa kichwa baada ya kutumia vyema krosi safi iliyotoka kwa nahodha wa Genk Thomas Buffel. Genk imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Zulte-Waregen.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

VIDEO YA MAGOLI YA MECHI YA YANGA VS MTIBWA SUGAR APRIL 16 2016, FULL TIME 1-0

Soma na hizi

Tupia Comments