Burudani

SMASH HIT: Jerusalema ya Master KG inaendelea kufanya vizuri (+video)

on

NI Headlines za Master KG kutokea Afrika Kusini ambae kwasasa anashikilia rekodi ya kusikilizwa na kupendwa kwa wimbo wake uitwao Jerusalema aliyomshirikisha Nomcebo.

Wimbo huo uliowekwa kupitia mtandao wake wa Youtube  Dec 13, 2019 umeweza kutazamwa na watu zaidi duniani Milioni 8,250,781

Kwasasa hakuna anaebisha kuwa ukienda BAR, CLub au maharusini lazima wimbo huu uchezwe na kama ulikupita basi itazame hapa

Tupia Comments