Burudani

#SMASH HIT: Summer Walker akiwa na Usher ‘Come Thru’ (+video)

on

NI Headlines za mrembo mwenye umri wa miaka 23 aitwae Summer Walker ambae kwasasa ameingia kwenye rekodi ya kuwa msanii mdogo mwenye ushawishi mkubwa nchini Marekani.

Summer ameingia kwenye orodhaa ya wasanii wachanga ambao wanaaminiwa kuangaliwa kwa jicho la pili hasa katika tasnia ya muziki.

Summer amesainiwa kwenye label ya LoveRenaissance and Interscope Records, na mpaka sasa ameshatoa nyimbo zisizopungua 15 na leo nimekusogezea hii aliyofanya na mkali Usher Raymond iitwayo Come Thru iliyotoka mwaka huu.

itazame hapa

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments