Habari za Mastaa

#SMASHHIT:Ngoma 10 kali ambazo hautozijutia kuzisikiliza kutokea Marekani R&B/Hip Hop

on

Najua Nina watu wanaopenda kujua ngoma zinazobamba ama zinazofanya vizuri kwasasa hususani huko nchini Marekani sasa hapa nimekuwekea video 10 za wasanii ambazo kupitia nyimbo zao basi Ma DJ’s uzicheza mara kwa mara kupitia radio zao hata TV humo nchini.

POP SMOKE – CHRISTOPHER WALKING (OFFICIAL VIDEO)

J.I. -“Need Me” 

24kGoldn – Mood (Official Video) ft. iann dior

FIVIO FOREIGN – BIG DRIP

Saweetie – Back to the Streets (feat. Jhené Aiko) [Official Music Video]

CJ – WHOOPTY [Official Music Video]

Drake – Laugh Now Cry Later (Official Music Video) ft. Lil Durk

Wale – Flawed (feat. Gunna) [Official Music Video]

Summer Walker – Playing Games (with Bryson Tiller)

Elaine – You’re The One

 

Soma na hizi

Tupia Comments