Michezo

Matokeo ya Simba v/s Mgambo Shooting haya hapa.

By

on

Screen Shot 2014-02-09 at 10.26.11 PMMechi kati ya Simba na Mgambo Shooting imekamilika kwa ushindi wa goli 1-0 jioni ya leo mbele ya Mgambo Shooting Uwanja wa Mkwakwani 96.0 Tanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Kwa matokeo ya leo Simba imebaki na pointi zake 31 baada ya kucheza mechi 17 mpaka sasa wakati Mgambo imetimiza pointi 12.

Goli la Mgambo Shooting leo limefungwa dakika ya 29 na Fully Maganga kufuatia mpira wa adhabu kupigwa.

Kwa hiyo Mgambo Shooting ndio kachukua ushindi.

Tupia Comments