Michezo

Shomari Kapombe yupo fiti, kasaini sasa kwenda nje nchi

on

Leo June 27, 2019 Taarifa kutoka Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC inaeleza kuwa Beki wa kulia Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu hiyo.

Taarifa iliyotolewa katika ukurasa wa Instagram wa Simba imesema kuwa Shomari kwa sasa yupo fiti kucheza na atakuwa sehemu kikosi ambacho kitaenda nje ya nchi kujiandaa na msimu mpya.

“Beki bora wa kulia nchini Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamwezesha kuendelea kuwa sehemu ya kikosi cha Mabingwa. Shomari kwa sasa yupo fiti kucheza na atakuwa sehemu kikosi ambacho kitaenda nje ya nchi kujiandaa na msimu mpya” Simba SC

KAULI YA MAKONDA MBELE YA WACHEZAJI WA TAIFA STARS EGYPT

Soma na hizi

Tupia Comments