Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba Sports Club imeendelee kukiimarisha kikosi chake kwa kufanya usajili mwengine ambapo leo June 28, 2019 imemtambulisha rasmi Tairone Santos Da Silva raia wa Wabrazil akitokea Atletico Cereance ya Brazil.
Tairone mwenye umri wa miaka 30 amemwaga wino Msimbazi kwa kandarasi ya miaka miwili mpaka 2021, Mchezaji huyo anayemudu kucheza nafasi ya Beki ameongeza idadi ya Wabrazil klabuni hapo kufikia 3 wakiwemo Vieira na Wilker Henrique.
TAZAMA BONGO ZOZO ANAVYOENDA UWANJANI MECHI YA TAIFA STARS NA KENYA