Michezo

James Kotei aondoka rasmi Simba

on

Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini imethibitisha kwamba kiungo wa Ghana  aliyekuwa anakipiga katika klabu ya Simba SC, James Kotei amejiunga rasmi na klabu hiyo inayoshiriki katika ligi kuu ya South Africa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika ukurasa wa Twitter wa Kaizer Chiefs James Agyekum Kotei amesaini mkataba wa miaka 3 kuitumikia Chiefs.

KAULI YA KWANZA YA RC MAKONDA BAADA YA KUFIKA CAIRO

Soma na hizi

Tupia Comments