Michezo

Matokeo ya Simba v/s Mtibwa Sugar ya Morogoro yapo hapa.

By

on

IMG_4200Mechi kati ya Mtibwa Sugar ya Morogoro na Simba ilimalizika kwa matokeo kuwa 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa jioni ya February 05 kwenye Uwanja Jamuhuri Morogoro (88.5 Clouds FM).

IMG_4190Katika mchezo huo Mtibwa Sugar katika kipindi cha kwanza walifanikiwa kupata goli kupitia Mchezaji wake Mussa Hassan Mgosi.

simbanamtibwaMgosi ambaye alishawahi kuwa mshambuliaji wa Simba kipindi cha nyuma alifunga goli hilo kwa kichwa na goli hilo lilidumu hadi kipindi cha pili cha mchezo huo ambapo Simba kupitia Tambwe walisawazisha.

IMG_4182Kwa Tambwe hili litakuwa goli lake la 14 katika Ligi hii ambapo kwenye hiihii mechi pia kadi nyekundu ilitoka na kwenda kwa mchezaji mkongwe wa Mtibwa Sugar Shaban Nditi kwa sababu za kumtolea lugha chafu mwamuzi Donisya Nkurya wa 87.9 Arusha.

Matokeo ya leo yanaiongezea Simba point na kufikisha pointi 31 ikiwa kwa sasa imepanda hadi nafasi ya tatu na wanakwenda sawa na timu toka Mbeya ya Mbeya city (87.8 Clouds FM) ambao nao wana pointi 31.

Tupia Comments