Top Stories

PICHA: Mke wa Kibonde azikwa Makaburi ya Kinondoni DSM

on

Ieo July 13, 2018 Familia, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na mtangazaji Ephraim Kibonde wameuaga na kuuzika mwili wa marehemu Sara Kibonde ambaye ni mke wa mtangazaji Kibonde nyumbani kwake, Ubungo Kibangu na kisha baadae kuupumzisha mwili wake katika makaburi ya Kinondoni.

Kupitia millardayo.com inakukaribisha kuona baadhi ya matukio kwa picha zilizo ripotiwa kupitia ukurasa wa Instagram wa Clouds Fm kituo cha radio ambacho Kibonde anafanyia kazi kama mtangazaji.

VIDEO: Linah Kafunguka “Napenda wanaume weusi, nikiwaona nasisimka, wamekaa kiume”

Soma na hizi

Tupia Comments