Michezo

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wanyakua Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara

on

Leo May 21, 2019 Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wamenyakua bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 baada ya kuichapa Singida United mabao 0-2 ugenini kwenye uwanja wa Namfua, Singida.

Kwenye ushindi huo Simba wamehitimisha utetezi wa ubingwa wao kwenye ambayo magoli yamefungwa na Meddie Kagere dakika ya 10 na John Bocco dakika ya 60.

Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha pointi 91 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye ligi msimu huu, ikiwa bado ina michezo miwili mkononi.

EXCLUSIVE: MTOTO KAGERE ALIYELIA KISA SIMBA, AFUNGUKA “NATAKA KAZI YA MANARA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments