Habari za Mastaa

Pichaz 20 za maadhimisho ya siku ya msanii Tanzania pamoja na washindi wa tuzo nne za heshima …

on

Siku ya msanii ni siku maalum ambayo Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) lilibuni siku hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2008 katika kutekeleza sheria No:23 ya mwaka 1984 iliyounda Baraza hilo. Kwa mwaka 2015 maadhimisho ya siku hiyo yalichelewa kidogo kutokana na kupisha uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani.

DSC_0252

Usiku wa December 12 zilifanyika sherehe za maadhimisho ya siku ya msaani na kutoa tuzo nne za heshima. Waliofanikiwa kupewa tuzo ya heshima ni Bakari Mbelemba maarufu kama mzee Jangala amepewa tuzo ya heshima ya sanaa za maonesho, Robert Yakobo  amepewa tuzo ya heshima ya sanaa ya ufundi, Tekla Mjata amepewa tuzo ya heshima ya filamu na Shakira H. Said amepewa tuzo ya heshima ya sanaa ya muziki.

DSC_0256

DSC_0259

DSC_0260

DSC_0261

DSC_0287

DSC_0309

DSC_0312

DSC_0315

DSC_0327

DSC_0335

DSC_0342

DSC_0357

DSC_0366

DSC_0367

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments