Habari za Mastaa

Hii ni ya Maisha Club leo February 07.

By

on

maishaInaweza kuwa jijini Dar na ukawa na mdau wa muziki ukajikuta huna mahali pa kwenda na kuburudika,naomba nichukue nafasi hii kukufahamisha kuwa leo New Maisha Club wana kitu maalum kwa ajili yako hii ni Sneakers Party,kwa hiyo tupia Sneaker yako afu usogee maishani.

Tupia Comments